Wednesday, July 30, 2014

Screen Shot 2014-07-30 at 2.56.39 AMWeekend ya usiku wa kuamkia July 27 2014 ndio Diamond na Lady Jaydee wametangazwa kuwa washindi wa tuzo kwenye tuzo za AFRIMMA2014 zilizotolewa nchini Marekani zikiwa zimewashindanisha mastaa wakubwa wa Afrika kama vile Davido, Mafikizolo, 2Face na wengine.
Kama ulitamani kuona Diamond akihojiwa baada ya ushindi huo hii ndio time yako mtu wangu…

0 comments:

Post a Comment