Sunday, July 27, 2014

Msanii na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo
Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo. Soma zaidi.>

0 comments:

Post a Comment