Posted by Williammalecela.com on Thursday, July 31, 2014
 |
| Mtuhumiwa wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akiwa chini
ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakama ya
Kisutu jijini Dar es Salaam jana.Mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kumuua
kwa kutumia silaha Ayubu Mlai. |
 |
| Mtuhumiwa
wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akiwa ndani ya gari ya polisi
akipelekwa Mahabusu baada ya kuachiwa na kukamatwa tena katika mahakama
ya
Kisutu jijini Dar es Salaam .Mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la
kumuua
kwa kutumia silaha Ayubu Mlai |
Mtuhumiwa wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo (33)akizibitiwa na Polisi
0 comments:
Post a Comment