Naambiwa matokeo ya Usaili huu yamefutwa.
Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo
wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti
ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha
kuwa katika Idara hiyo watanzania
wengine mbali ya watoto au ndugu wa
wafanyakazi wa Idara hiyo hawawezi
kupata ajiya ndani ya Idara hiyo ya
Serikali. Majina ya wengi walioitwa kazini
ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa
idara hiyo.
1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto
wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa
Uhamiaji Aleluya Kishe
3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa
Uhamiaji Tatu Burhani Idd
4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Joseph Kasike
5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu
ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa
Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
7. Issack Michael Makwinya – mtoto
wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji
Makwinya
8. John Alfred Mungulu – mtoto wa
Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
9. Joseph A. Milambo - mtoto wa
Karani wa Uhamiaji Milambo
10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa
Uhamiaji John Choma
11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa
Uhamiaji Zakayo Mchele
12. Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa
Uhamiaji Mgonja
13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa
Uhamiaji Adam Kidesu
14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Edward Martin
15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Mahirane
16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Dismas Lucian
17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Kajura
18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Magnus Ulungi
19. Janeth John Milinga – Ndugu wa
aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Eliza Lukuwi
21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa
Uhamiaji Mary Yondani
22. Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa
Uhamiaji Abbas Irovya
23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa
Uhamiaji Dismas Mlula
24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa
Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa
Afisa Uhamiaji Gambadu
26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa
Martin Edward mwenda
27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa
Ernest Kalunde
28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa
aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis
Mlay
29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa
Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa
Afisa Lucy Mapunda
Hii ni sampuli tu yaani nimeorodhesha
moja ya tatu tu kwani zaidi ya asilimia
tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa
Uhamiaji. Nadhani ingekuwa vyema wasingekuwa
wanatangaza nafasi hizi bali wawe
wanagawiana ndani kwa ndani.
- Mbunge Ccm Mmxv Nyang'hwale, Nuru Yusuph, Honorary Edward Mallya and 3645 others like this.
- Bernard Bakuza Kama ni kweli Mungu apewe sifa maana mimi sikujisumbua hata kwenda uwanja wa Taifa kwa nafasi zile 70 za maofisa wa uhamiaji.
- Judy Charl Habari hii ya kweli Mrisho Gambo?20 hrs ·
- Fadhili Kashalu Ndio maana hawakitaki kipengele cha UWAJIBIKAJI kama tunu za Taifa kwny Bunge maalum la katiba......!
- Said Sass Sheikh Kama hali ndio hiyo si kuna tume za uwajibikaji...nidhamu...pccb...fair competition. .na wale wa utumishi..hili hawajaliona au ndo kimenuka sasa mazoea ni mpaka EXECUTIVE BRANCH ZITOE MATAMKO.
BAD EXPERIENCES. TUNASUBIRI MATOKEO YA MATUMIZI YA PESA KUUNDA KAMATI NA UCHUNGUZI NA TUME...19 hrs · - Nyambega Juma Kama ni kweli,itakuwa vizuri,maana wamezoea kupatawao2,ndiyomaana uchumi haupandi kwa mlalahoi,ukiangalia familia nzima hakuna hatam1 aliye pata bahati ya kuajiliwa,nafasi zikitoka ndiohivyo;wanarithishana2,inapaswa 2badilike kila mtanzania anahitaji maendeleo na maishabora.
- Fadhili Kashalu ....wkt fulan c vibaya kwa ndg wa idara hy kupata kazi ktk idara, muhimu wawe wameshindanishwa na kushinda! Sio kubebwa tu, au hata wengine kwny usaili hawaji then unasikia kaitwa kazin, hiyo ni foul.19 hrs ·
- 19 hrs ·
- Frank Musali hajajibu mrisho yeye ukuu wa wilaya kapataje kama si mfumo huo huo,@ fadhil kashalu
- 18 hrs ·
- Donnasian Ishenda Haijalishi Mh.Mrisho kaupataje ukuu wa wilaya ila kwa nijuavyo mimi post yake ni ya kuteuliwa unlike hizi za Uhamiaji, ambapo watu waliomba wengi na kufanya usaili ila matokeo ya mwisho ndo kama hivi. Kihualisia Serikali imefanya poa kusitisha ajira hizi ila inabidi ifanye hivyo kwa sectors zake zote, maana kote huko kuna madudu kama haya yalishawahi kuzungumzwa hasa BoT na balozi zetu. Wafanye uchunguzi na kuplay fair recruitment.
- Masoud Issa Hali ni mbaya sana ila kama wanasifa na vigezo vinavyohitajika na Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa mtazamo wangu sioni kama ni kosa kuwa mtoto wa mtumishi wa Uhamiaji ndio iwe fimbo ya kuwachapia......
- Mathew Mfinanga Are you a university graduate and interested in business education? Are you interested in an exciting full-time employment opportunity?
Off Grid Electric provides affordable and reliable energy (M-POWER) to communities that lack such power. We are the fastest growing solar company in Tanzania and based in Arusha.
The Off Grid Academy is a 6 week business education training program for university graduates. All participants will learn valuable business skills that can be used in many different jobs. Top candidates will receive job training for Off Grid Electric and the most promising participants will be offered the opportunity to work at Off Grid Electric. Tuition will be waived for the first group of students to attend the Academy. Off Grid Electric will also consider reimbursing students for the cost of transportation or lodging on a case by case basis.
There is a competitive selection process to enroll in the Academy which includes online tests and an interview. The tests and interview will take place in mid to late August. Classes are scheduled to begin in September in Arusha.
If you are interested in applying to the Academy, you must fill in all the information at the link below by 6pm on August 1. We will email you during the week of August 4th to schedule a time for you to participate in the selection process.
http://goo.gl/EmJUvH
Requirements to apply: you must be a university graduate and available full-time starting September 1st. If you apply to the program but are not available full-time, you may not participate in future sessions of the Off Grid Academy for at least one year.docs.google.comOff Grid Electric is the world’s first massively scalable off-grid electric comp... See More18 hrs · - Mathew Mfinanga kama unaswali tuma hapa 0758243037 or mfinangatz@gmail.com18 hrs ·
- Mohamedi Dembe Mcshangae sana mbona huu mfumo kitambo? Imebaki kutoa tangazo kuwa watoto na ndg wa viongiz tu wanaruhusiwa kuandika barua za kaz hii kwa ushaid!
This country bwana!!! Dah!! Ukifkiria sana unaumia na unaweza ukachukua maamuz mabaya na c vyema! Leaders are sources of all these!!!17 hrs ·Azmaveti Ralson dah! kaka asante kwa taarifa.hakika tumepata mkuu wa wilaya jembe hasa kwa kutoa habari .inashikitisha.hv kaka mkubwa haya anayajua?17 hrs · - 16 hrs ·
- 16 hrs ·
- 15 hrs ·
- Shaban Kigumi Uhamiaji iwe mfano lakin wasiishie hapo tu watazame pia uteuzi wa nafasi za wabunge , Bot, polisi, magereza, Jwtz, Tra, wizara mbalimbali majina ni yale yale yanajirudia kwa kiasi kikubwa
- Philip Boniphace LA KUVUNDA HALINA UBANI, HATIMAE HARUFUYE IMEZAGAA PUAN MWA WABANI NA WABANIA ,HATA LIKIFUKIZWA UBANI LISHA NUKA HILO.6 hrs ·
- 4 hrs ·
- James Gulaka Ukweli ni kwamba, matukio ya usaili wa namna hii yako mengi sana, hili sio la kwanza. Pia nasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza4 hrs ·
- Adamu Mbano mh dc yafutwe kabisa waludie upya na wakawachukue vijana wazalendo wenye mapenzi na nchi wanaojitolea kule jkt wale wanavyo vigezo vyote lakini hawakumbukwi jamani mnatia uchugu sana4 hrs ·
- Samweli Msumari nafikiri tukiendelea na ufichuzi huu, baada ya miaka 4 tutaendelea.3 hrs ·
- 2 hrs ·
- Mtinika Said Hata mm ningeshangaa kama usaili huu usingefutwa, sijui walizingatia nn? upo kikabila, kiudugu, kiurafiki, kidini dini, yaani ni kinyaa!
- 31 mins ·































0 comments:
Post a Comment