Posted by Williammalecela.com on Wednesday, July 30, 2014
 |
| Le Mutuz wearing hii Shati leo in the memory ya my days nilipokuwa majuu kwenye utumwa wa kujitakia mwenyewe yaani "Utumwa wa hiari" maan, Wazungu hawatuamini weusi so wanakuvalisha Shati lenye jina lako na kampuni yao, sasa wewe ukienda kufanya kazi kwa Wazungu wenzao wanajua utakipaka tu so itakuwa rahisi Wazungu wenzao wanakuchora jina lako chini na kuwashitua kabla hujafikia job kwako, kama vipi unafukuzwa kazi tu bila maelezo kumbe umekipaka kwa Wazungu wenzao wamekuchongea bila wewe kujua, what a history cause hili ni shati ya Mwaka 2002 U know, we all have to start samewhere in life!!, ninamshukuru Mungu kwamba nilienda Majuu ontime na nikarudi ontime nilichojifunza ni kwamba ukirudi bongo ukawa na maisha mazuri kule Majuu wanakuzushia kuwa Uliondoka bila kupenda, ulifukuzwa na kwamba umerudi kwa sababu ulishindwa maisha, lakini ukirudi bongo ukawa vibaya unasifiwa sana na na waliobaki kule Majuu kwamba uliamua mwenyewe kurudi, na kwamba ulifanya makosa kidogo tu lakini utakuwa sawa tu na kwamba ni mtu mzuri sana! ha! ha! ha! ha! ha! ha!ha! Sijaelewa WHY? ha! ha! ha! -Le Mutuz |
Sasa Le Mutuz unakuwa km huwajui Wabongo,tukirudi bongo toka majuu mambo yako yakawa mabaya ndo furaha yao wakati wao wameng'ang'ania'ania huko na hali zao ni mbaya kuzidi wewe uliyerudi na mbaya zaidi hata ambaye hajawahi kwenda majuu anawazidi,Lakini yakiwa mazuri utapakwa kinyesi sababu hawataki kukubali umepunch life kuzidi wao walokalia majungu.
ReplyDelete