Thursday, July 31, 2014

Na Waandishi Wetu
STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara.
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Akipiga stori na mapaparazi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini anamshukuru Mungu amemuelewa na sasa kila kitu kinakwenda sawa.
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akiwa na mama yake.

1 comment:

  1. Kama wameelewana basi ni jambo jema ... Ahsante sana LE MUTUZ kwa kutuhabirisha Karibu kweny blog yangu (but pichaless) ya maneno mbalimbali
    Temblea hii address hapa chini;

    http://mwenyekitiwamuda.blogspot.com/

    ReplyDelete