Posted by Williammalecela.com on Monday, July 28, 2014
 |
Miezi miwili iliyopita msanii Nay Wa Mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya
kisasa nissan murano!! kupitia chanzo cha habari kilisema tangu Nay aachane na Manager wake miezi 7 iliyopita alikuwa
hana ata nyumba moja ameshangaa kumuona ana nyumba nne ghafla, lakini
manager amesema inawezekana jamaa anatafuta kiki ili watu wanaomuita
kwenye show wafikirie kumpa mpunga mrefu na si laki laki wanazolipwa
kwenye events! Amefunguka kwamba Nay kuwa na hizo nyumba basi itakuwa ni
miujiza.
SOURCE:- BenKinyaiya Blog
|
0 comments:
Post a Comment