Mtangazaji wa kipindi cha mahaba
kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’
hivi karibuni alilazimika kuyaanika maungo yake ya sehemu za mapaja
kushuka chini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa mashabiki
wake.Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba
kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua
kumtimizia haja yake ili afurahi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment