Staa wa Bongo Movie Kajala Masanja ambaye mpaka sasa inasemekana ukaribu wake yeye na Wema Sepetu
bado wakusuasua kutokana na sababu iliofichika ,chanzo chetu cha
kuaminika kimembamba Kajala akikosha nafsi yake baada ya kusingiziwa
sana kuwa anachukuwa wanaume wa watu hivyo kajala amejibu mapigo kwa
kujinyakulia kijana mdogo anaye tambulika kwa jina la ‘Medy’ kwa ajili ya kumkosha moyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment