Monday, July 28, 2014


Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete kupitia ukurasa wake wa facebook ameweka picha yake ya miaka 10 iliyopita na kusema maneno haya


Growing up in the party (CCM). Mwisho kulia nikiwa na umri wa miaka 13, miaka 22 iliyopita (mwaka 1992) katika mkutano wa Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Mbeya

0 comments:

Post a Comment