Monday, July 28, 2014


Salma jabu nisha ndio msanii pekee namba moja ambae anaongoza kwa filamu zake na alizo shiriki kuwa zinaongoza kwa mauzo sokoni mpaka sasa hajapatikana wa kumpiku
hii ina tokana na uhodari wake wa kujituma na kujiheshimu na kuwapa radha mashabiki wake na Rekodi yake haijavunjwa mpaka sasa sokoni na kupachikwa jina la Diva wa soko la filamu tanzania

3 comments:

  1. Ndugu Muandishi.
    Umechukuwa vigezo gani kuligundua hilo?

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli wacha aongoze huwa yuko makini na huwa nampenda ana vaa huhusika halisi wa kitu anachoigiza.huwa haweki mapozi.akiigiza ka kichaa anakuwa chizi kweli..kama mwanafunzi ana igiza hvyi hvyo...yaani super we mdada...

    ReplyDelete