![]() |
| Super Bilionea Davis Mosha akiongea na Watoto Yatima na Wananchi nyumbani kwake jana baada ya kuwafuturisha nyumbani kwake jana jioni. |
![]() |
| Kocha wa zamani wa Simba Julio Kiwelu akizungumza baada ya Futari hiyo. |
![]() |
| Mtoto wa Super Mogul mwenye pink akiwa na watoto Yatima hao ambao wamekuwa wakifuturu nyumbani hapo kwao kwa Miaka mingi sasa na kuishia kuwa marafiki wa karibu. |
























mtoto wa davis anafuraha,baba anampa kila kitu,hana roho yakimasikini
ReplyDelete