Wakati Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri raia wa Zambia ametua nchini, aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zdravko Logarusic atokomea Tanzania.
Kupitia mtandao wa Facebook, Loga ametupia picha mbili za juu huku akiandika “by by Tanzania, akimaanisha bye bye Tanzania.
Kocha huyo ameondoka na ndege ya Shirika la Tukish. Kama safari yake imekwenda vizuri, tayari Loga atakuwa amewasili kwao salama.
0 comments:
Post a Comment