Wednesday, August 6, 2014

Baada ya kutupiwa lawana nyingi na maswali yakiendela kumiminika ili atoe sababu ya kuunfollow watu kwenye mtandao wa Instagram hatimaye msanii Ali Kiba ameamua kujibu kama ifuatavyo:


  Hapo juu ni swali kutoka kwa mtangazaji wa Times FM Fadhili Haule na fans wengine
Hili ndo jibu la Ali Kiba. So ukitaka kuwasiliana nae tanya kumfollow twitter.NA Jestina George

0 comments:

Post a Comment