Binti
alipost picha yake ambayo imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page
yake ya facebook na kama kawaida ya internet ikasambaa ghafla.Mama wa
binti huyo baada ya kusikia hizo habari hakuweza kujizuia na kumpa
kichapo kikali kwa kuchapa na mkanda binti yake huyo mwenye umri wa
miaka 12.Baada ya video hii kusambaa mama huyo raia wa Trinidad and
Tobago amesema hajilaumu kumchapa mwanae na wala
haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.
haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.
0 comments:
Post a Comment