Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 26, 2014
 |
Balaa!!!,
Machangudoa wa nchi ya India ambao wanapatikana zaidi katika eneo la
Sonagachi, Kolkata, wanashindwa kutoa huduma ya ngono kwa raia wa Afrika kutokana na
kuogopa kuambukizwa ugonjwa wa Ebola, ambapo ugonjwa huo umeshika kasi sana
katika nchi za Afrika ya Magharibi.
“We have requested the sex workers not to entertain Africans as
it can be a life risk for them if they get infected by the highly
contagious Ebola virus causing havoc in some West African countries,” |
0 comments:
Post a Comment