Monday, August 18, 2014

Jaji Lewis Makame amefariki muda mchache uliopita katika Hospitali ya Trauma Centre Masaki, aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, habari zaidi zinakuja soon!!

0 comments:

Post a Comment