NDOA ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ipo katika mtikisiko mkubwa kufuatia mawifi zake kumpenda zaidi mwanamke aliyezaa na mumewe kabla hajaolewa.
wifi mmoja ambaye anamkubali, bali wote wameelekeza nguvu kwa mwanamke huyo na mara nyingine huwa wanamchukua kumpeleka nyumbani kwao Morogoro.
Cathy alipopatikana alikiri na kusema hata hivyo hao mawifi wanajisumbua bure kwani hawezi kuachika kwa ajili yao, kwa sababu mumewe Rupia anampenda sana labda siku apende yeye mwenyewe na hata akiamua kuachika mumewe hawezi kurudia matapishi, atachukua kitu cha ukweli.
0 comments:
Post a Comment