Friday, August 29, 2014


Hasheem Thabeet traded to 76ers, but will be waived, per report



Russ Isabella-USA TODAY Sports


The Thunder will get a trade exception by trading Thabeet into cap space. 5 1




However, the Sixers won't be keeping Thabeet and his $1.25 million non-guaranteed contract around:


By trading Thabeet into the Sixers' cap space, a $1.25 million trade exception will be created for Oklahoma City. The Thunder will send cash considerations to the Sixers along with Thabeet:

Prior to the deal, Oklahoma City was about $1.4 million below the luxury tax line. That number now stands at nearly $2.7 million and gives the Thunder a bit more breathing room.

The Sixers have until Sept. 1 to waive Thabeet before his deal becomes guaranteed, which is why he'll be waived immediately. Philadelphia is way under the salary floor and could have used Thabeet's contract to get closer to it, but that's not the plan. Instead, it appears the trade was simply for cash.

Thabeet's NBA career has been a huge disappointment. The No. 2 overall pick in 2009, Thabeet has career averages of 2.2 points and 2.7 rebounds in 224 games.

  • 9097 people like this.
  • Marko Naiman kafanya nini tena jamaa yetu?
  • Asheri George Matembele Yeye si anauza sura bongo kila off season baada ya kubaki kukaza makalio game ipande.Watu hawamtaki wanamuona mzigo.Na ana watoto kwa sasa so child support ina muhusu,lazima stress zimuhusu
  • Magori Kihore pamoja na yote hayo huyu jamaa ni ametengeneza hela
  • Asheri George Matembele Ziko wapi hizo hela Magori?
  • Magori Kihore 1.2 m salary a year alizo pata au alikuwa halipwi hiyo Asheri George Matembele au ?
  • Asheri George Matembele Alikuwa analipwa nyingi kweli lakini nacho maanisha ni kwamba kafanyia nini hizo hela? Kwa jinsi navyo mjua jamaa lazima investments zake zinge julikana tu
  • Magori Kihore ku ukweli mimi sijasikia kama ana ata ka mradi hapa jamaa kwisha habari yake anayway alifanikiwa kuingia NBA
  • Paschal Mugabe USA kuna talents sana, inawezekana anazidiwa uwezo tu na age inaenda. Japo uzembe unaweza kuwepo lakin bado from TZ to NBA is a big respect. Kuhusu vacation binadam yeyote anaenda vacation na yy ndo muda wa kusafir or kuja home ni kwa kila mtu. Pia kuhus kuzaa ni sehem ya maisha ya wanadam mbona hata kina Jordan, Magic Johnson, Shacquile wana familia na walianza nazo toka wako kwenye game.
  • Asheri George Matembele What's the point ya kila likizo kwenda tz wakati huna viwango? Yani una relax wakati kiwango zero?!!
    Ni kweli mtoto sio ishu lakini kwa status yake wanawake wengi wa US wanaona deal kuzaa naye kwahiyo wale alio zaa nao wanavyoona anashuka wanaanza kufikiria namna ya kupata mshiko wako kupitia mtoto.Hao wengine ulio wataja wana watoto lakini wamejipanga,Shaque kasoma vya kutosha na sasa ana endesha migahawa,movie theaters na ana endorsement,Kobe anakaza mpaka sasa.Sasa ndugu yetu yeye ana nini mpaka abweteke?!! Ishu sio kuwa na watoto ila ishu namna ambavyo wata mpelekesha kuwatunza
  • Paschal Mugabe Mm kaka nakubaliana na ww kwa asilimia fulan, ila mawazo yangu yananifanya nifikirie kuwa sabab za kushuka kwake ww umeziegemeza one side. Issue ya kuzidiwa talents na wamarekani inaweza kuwa kubwa zaid kuliko yote kaka. Ila tutamlaum kama hana investments, japo nahis inawezekana jamaa anampango wa kuchukua citizenship huko kwake ni rahis zaid labda ndo maana haja invest sana lakin sidhan kama tuna data za kutosha. Kumbuka mm nilikua nafundisha tution makongo Hashim alishakua mkubwa na hakuwa hata star pale makongo. I predict age aliyonayo kwenye passport si halis. Sasa inawezekana huu ni wakat wa yy kustaaf ila sisi tunaona anatakiwa apande. Kaka kwani kuja Tanzania maana ake ku relax? Pia usisahau juhudi ya wapinzani wake. Anyway, najarib kutoa mawazo tu ktk kuchangia mjadala maana pia ni fundisho kwetu na kwa ndug zetu baadae. Mtizamo tu bro.
  • Paschal Mugabe Lakin pia kwa kujua kuwa yy ametokea Tanzania kwa kuwa ktk ngaz ya NBA akiwa na mtizamo wa huku nyumban inaweza kuwa ina psychological effects. Na watu wengi wamelizungumzia hili sana tu. Iyo inasemekana imeathiri sana performance yake, maana iyo ni long term. Unakumbuka kuna ndug etu mwingne alipata cheo UN pale. Sasa hiv yuko wap
  • Asheri George Matembele Nimekuelewa,ila activity za Hasheem akiwa bongo si zipo kwenye mitandao braza! Unahisi akija bongo anakuwa na ratiba sawa ya mazoezi sawa na akiwa US? Mimi sidhani kama kipaji ndio sababu,Dikembe Mutombo alitoka kwao Congo kama Hasheem tu lakini alikaza mpaka kikaeleweka.Kwahiyo sidhani kama vipaji vya wamerekani ni tatizo ila ni kujituma,jamaa alikuwa anawaza kupiga bakora bongo,wapo wachezaji wengi wa NBA wanatumia muda wa likizo kufanya mazoezi.Si kila likizo ni ya kula bata

    Kuhusu ishu ya wapinzani pia nina tofautiana na wewe.Kwani hakuna mwafrika ambaye hajawahi fanikiwa NBA au UN? Au hao wapinzani ni kwa watanzania tu? Ishu hapa mkuu ni uvivu na kubweteka,tunarudhika sana hivyo tunakosa persistence.Hasheem bado mdogo ana muda mwingi wa kufanya mengi makubwa.Huyo wa UN naye kwani kafanya lipi kubwa hapa nyumbani kabla na baada ya kwenda UN.
    Mimi ningekuwa Hasheem aisee mbona ningekuwa na kitandani kwenye court na gym.
    23 hrs ·
  • Asheri George Matembele Mpaka Hasheem kafika pale ni kwasababu ana kipaji,wali mtengeneza akatengenezeka otherwise asingefika hapo.Sasa sitaki kuamini kuwa wachezaji wa NBA wana vipaji kushinda Hasheem wa enzi za college.Mimi simpondi ila nasikitika kuona kijana mwenzangu anakubali kuacha opportunity inampita ingali umri una ruhusu na uwezo anao
    23 hrs ·
  • Paschal Mugabe Hhahahahaa, dah kaka umeua sentesi ya mwisho..Aya bwana.. Ila kanchi ketu kako nyuma kwa mambo meng sana. Ndo maana leo mm nikipata nafas ya kucheza NBA nabweteka kwasab najilinganisha na wabongo ambao hawajafika huko. Dawa yake ni kupambana na wa huko ndo utakuwa na consistency. Yule mama etu alipata cheo kikubwa UN amerud kuendeleza chama. Tena uyo ndo kasoma kaka. Na wakat yuko kazin UN mmewe alikua bado ameshikilia nyumba ya chuo wakat junior staff weng wanahangaika na nyumba. Sasa unategemea nn kaka kwenye hii nchi. Beautiful ones are not yet born
    24 hrs ·
  • Asheri George Matembele Hilo ndio tatizo mkuu,"kanchi kadogo" hapo ndio pa kuanzia sasa,wananchi tuache kufikiria kidogo,we should think big caz hiyo itatufanya tuwe na hasira na tujiamini,ambayo mwisho wa siku hata viongozi hawato tupelekesha.Leo ukikutana na Mnigeria mipango yake utafikiri tayari ana miliki mabilioni kumbe anaishi kwenye chumba kama korido,lakini ambition na kujiamini.Unaanzaje kujilinganisha na Dimond wakati upo level za wakina JZ!! Ndio maana ndugu yetu akawa anashinda Bongo sababu huku ndio kuna vibonde badala ya kushinda na wakina Kobe na Durant apate changamoto yeye anakuja bongo kushinda na wakina Le mutuz kwenye Instagram party.
    23 hrs ·
  • Paschal Mugabe I know, every vacation jamaa alikua anaibuka bongo kuchukua kifaa kipya maarufu. Pale kwetu msasan kuna dada mmoja mpangaj wetu anawaremba macelebrity alikua na mmoja pale wanakuja usiku wa manane wakipiga na ulabu. Hawa wawest Africa kaka ukikaa nao karib unafunguka, wako jelousy and very determined. mm niko nao hapa Ghana. Tanzania bado sana kaka, tena tatizo liko kumkichwa
    23 hrs · 
  • Darius Cosmas jamaa kawa dissapointment sana aise
    13 hrs · 
  • Geofrey Dnd Darius naomba unpe summary ya yanayo jiri kuhusu huyu dogo..!
    13 hrs ·
  • Darius Cosmas soma iyo article hapo juu,ila kifupi kawa traded to sixers ila wanasema wanamrelease sbb mkataba wake sio guaranteed .... ttz kijana ame underperofm so walikua wanamchukua kutimiza sheria za mambo ya fedha sbb alikua analipwa minimum salary...so wanamuacha na alivyokiwango kdg sizan kama atapata tena timu
    13 hrs ·
  • Geofrey Dnd Kweli watanzania tume sonywa..!
    13 hrs · 
  • William Kigje KARMA. ..... Nibalaa

0 comments:

Post a Comment