Friday, November 02, 2012
Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana. Chezea mke wa Sunday aka Bongo celebrity!!!
Bi Harusi akiwa tayari akiwa amefika sehemu yake maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake huku akiwa kazungukwa na wapambe wake
Yaelekea
Aunty anahamia huko kwa mumewe manaa hii cake ina message yakumuaga.
Aunt Ezekiel alifanya Send off yake ndani ya Serena Hotel iliyoambatana
na sherehe ya kuzaliwa kwake wasanii wengi wa Bongo Movie walikusanyika
kumsapoti ndugu yao huyo, kwa hiyo wale wakwale wanaopenda kudoea vya
watu wafyate mikia yao kwani sasa Aunt ni mke wa Sunday anayeishi mjini
Dubai itakapofanyika rececption yao.
Aunty akienda kukabidhi keki kwa wazazi
Heshima mtindo mmoja! Chezea mama wewe!!!
Wapambe walipendezajeee
Mashosti Wema na Jack Wolper full kutokeleza
Msanii Cloud akiwa na Bibi Harusi Aunty katika picha ya pamoja
Davina (wa kwanza kushoto) Cath Rupia (wa katikati) na Mama Eriethy
Maya na Chuchu Hans kati
Odama na smile ya ukwee
Mr na Mrs Cloud...............
Ray na kijana wake wakiwakilisha
Aunt akiwa kwenye vazi jengine kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa ambayo ilikuwa ni siku moja na send off yake.
Wema na Manger wake Martin Kadinda wakiandaa ndafu kwaajili ya kusherekea siku ya kuzaliwa Aunty
Ratiba ya kukakata ndafu ikiendelea!
Wema aliwakilisha wananawake wa Bongo Movie kwa kula ndafu....
Cloud aliwaakilisha wanaume wa Bongo Movie.....
Wapambe walipendezajeeee
Aunty akiwa ameongozana na shemeji yake kwenda kupata chakula hapa na kivazi kingine cha ukwee! kapendezajeee
Mambo yakipamba moto..
mambo ya burudani kwa kwenda mbele
Wolper & Wema wakionyehsa umahiri waoooo
Recho Saguda nae wamooo
Burudani ikiendelea..
Maya hayuko nyuma naye...
Mainda mpaka chini full kumwaga maraha
JB nae kati
Batuli akitoa show....
Ray kama kawa show stopper
Steven Nyerere akifanya vitu vyake
The Greatest nikiwa na Da Natasha katikati na JB mwenyekiti wa Bongo movie...
0 comments:
Post a Comment