Dear Michuzi and Malecela.![]() |
| Napenda kuwajulisha kwamba mtoto Faith amepatikana maeneo ya Msasani
na ameshaungana na familia. Aliokotwa na Msamaria mwema ambaye nae
alikuwa anafanya juhudi za kuitafuta familia yetu.
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru sana sana kwa
msaada wenu wa kurusha habari ile ya kupotea kwake. Lakini zaidi sana
nawashukuru jinsi mlivyotenda kwa haraka (act promptly) nilipotuma tu
ujumbe.
Hii imeonyesha umuhimu wa mitandao hii na ni kweli ya wananchi na jamii.
|
Tuesday, August 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment