Nimejifunza kwamba Mungu akikuacha katika hali fulani, basi mshukuru wala Usilalamike! Kwani yeye ndie akujuae zaidi. Pia Usidhani kama Maisha yamekamilika kwa mtu yeyote; kuna Mwenye Nyumba hana Gari, kuna
Mwenye Gari hana Watoto, kuna mwenye watoto hana pesa, kuna
Mwenye pesa hana Afya, kuna Mwenye Afya hana Kazi, kuna
Mwenye vyote lakini hana amani wala furaha. Mshukuru MUNGU kwa kila jambo, ungana nami tumrudishie MUNGU utukufu wake! GOOd night my fb friends.

0 comments:
Post a Comment