Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 20, 2014
| |
| Band hiyo inayokamilishwa na watu sita wenyeji wa IFAKARA walioweka kambi yao MBURAHATI jijini DAR ES SALAAM imejikuta ikisimamisha biashara na shuguli ndogondogo ghafla baada ya kuanza kutoa burudani katikati ya mtaa huo wa agrey. |
|
| |
|
|
|
|
|
 |
| Ndipo watu walipoacha kazi zao na kuanza kutazama burudani iliyokua ikitolewa na Band hiyo |
0 comments:
Post a Comment