Tuesday, August 26, 2014


"Jana nikiwa njiani kuelekea Iringa,Bahati mbaya nilikutana na ajali mbele yangu ambayo kwa Uweza wa Mungu haikuleta Madhara

Utu ni Kusimama na Kusaidia Majeruhi kabla ya hatua za Matibabu Makubwa Kuendelea.
Nashukuru niliweza Kutoa huduma ya Kwanza kwa Majeruhi hapo hapo na baadae kuwakimbiza Hospitali.
Tudumishe Utanzania na Ubinadamu Wetu."







0 comments:

Post a Comment