Waswahili wanasema penzi ni kikohozi..na ukitaka mapezi ya siri basi fanya na bubu.....hehehehe Hiyo yote ni misemo tu...TURUDI KWENYE KICHWA CHA STORY.
kwakiasi kikubwa walikuwa wakitaka fafanuzi zaidi ....... lakini Johari hakujibu comments za followers wake..hiii ikapelekea followers wake wajiongeze na kuamini kuwa huyo ndio atakuwa mpezi mpya wa Johari..
Sasa nimekuletea na wewe msomaji wangu uzionepicha hizo na useme ni yupi atakuwa amerithi shamba....
0 comments:
Post a Comment