Mwili wa kijana aliyegongwa na bodaboda na kupoteza maisha
hapohapo.
Bodaboda iliyomgonga kijana huyo.
Raia
walioshuhudia tukio wakimchukua mwendesha bodaboda kwenye gari
Raia wakimwangalia kwa karibu kijana aliyegongwa na
bodaboda.
Bodaboda yamtoa uhai mwendesha baiskeli ajali hiyo imetokea
kwenye makutano ya barabara ya Polisi messi Chumbageni Tanga.





0 comments:
Post a Comment