Saturday, August 30, 2014


"IKULU(WAMA) MUDA HUU-Nikiwa Mwanafunzi niliyebahitika Kufundishwa na Mke wa Rais Shule ya Msingi Kawe A
pia niliyesaidiwa Mpaka Kumaliza Masomo yangu ya Uandish wa habari DSJ ngazi ya stashahada na Mama Salma R.Kikwete pia leo tupo ktk sherehe za Kuipongeza Shule yake ya wama nakayama imefanya vzr ktk Mitihani yake ya kidato cha nne Mwaka huu na Wanafunzi aliyowasaidia Ktk Elimu namimi nikiwa Mojawapo najivunia kuwa Zao la Mama Salma R.Kikwete."



0 comments:

Post a Comment