Sunday, August 31, 2014

jokate_mwegeloSijui kama ni time ya mastar wa Tanzania kuamua kuonyesha wazi mapenzi yao kwa mastar wenzao,hii ni kutoka kwenye meza ya Soudy Brown ambapo kuna stori zimetoka kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Jokate na Ommy Dimpoz.
dimpozOmmy Dimpoz alipoulizwa na Soudy Brown kuhusu uhusiano huu mpya amejibu kuwa ‘Ee bwana mi sielewi chochote na hayo maswali unayonambia siyaelewi halafu cha pili mimi sina uhusiano ja Jojo’SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment