Friday, August 15, 2014

Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.


Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo yanavyosema:
@diamondplatnumz mambo vipi? Sisi mashabiki wa @wemasepetu tunakuomba umsaidie Wema kama yeye anavyokusaidia. Labda niseme kwa uwazi bila woga kwamba mahali ulipo kimziki umefika sababu ya Wema. Wengine hatukuwa mashabiki wako lkn sababu ya mapenzi kwa Wema tukajilazimisha kukupenda tu… so unajua vema bila wema we mziki huna!
Tunakuteteaga tu lkn huwezi kujilinganisha na wanamuziki wengine tunaowajua wanafanya vema kuliko wewe….leo sitawataja majina! nije kwa point yangu sasa wewe si mwanaume? Tuoneshe sasa! “Umetembea tembea nchi mbalimbali” umekutana na watu wa aina mbali, hujamtambulisha wema huko kibiashara, unaishia kusema maneno maneno ya sifa lkn unamwacha Wema anapotea.
Angekuwa Wema she’s always proud of you kukutaja popote hata angepata ile nafasi ya kuongea na Karuache angekutaja, umeonana na kina Davido+Iyayna bila kutaja waigizaji wakubwa Nigeria…Wema ni brand tunamlinganisha na top stars Africa!! We una nafasi kubwa sana kumfanya Wema aonekane..but what your doing unampoteza kwa makusudi. Unamchezesha viduku, Ulipomwacha alikuwa na maendeleo makubwa alikua ameshatengeneza wanamuziki wake, nyumba yake, kipindi chake cha in my shoes kilianza bila mkono wako. Ukaona hapa atakuzidi na unajua jinsi anavokupenda ukamtumi, hujawahi kusema hadharan feelings zako kwake zaidi ya mafumbo mafumbo
Hujawahi kukanusha ile interview ya spora uliyomdiss vibaya Wema….

Je tueleweje sasa? Si lazima kuanika kila kitu mambo yenu binafsi. Wema haoni kwa sasa sababu ya mapenzi yake kwako…tunakuambia leo kama hauna nia nzuri na Wema tunakuomba umuache. Maana unajua tu akimpigia promo mwanamuziki wake Mirror utapotea kwa game. She has all this power tunaomba usimtumie kwa maslahi yako binafsi. #bringbackourwema.
Haya ni maoni ya wengine:
lula_marii
Daaaaaaah kwa ukweliii wema unalegealegea ..yaani how comes you don’t have any respect from da guy who claims to love yuh?anawezaje kushikashika na kusugulia madem haswaaa ukiwa na yy kwa stage…juzi fiesta everyone saw wat diamond did with linah…wit out even thinking of da feelings of our madam…booooo pliz dnt say that is his professionals…coz its only singing that is his profsional…..@wemasepetu.open ur eyes….@diamondplatnumz pliiiiiz wit all due respect ,achaaa tabia za utoto
bintijasho
Siku nyingi nilikua nataka kusema hichi kitu lakini leo @mrekebishatabia umesemakweli kabisa @diamondplatnumz anaakili san amepinga hesabu akaona wema anamsanii wake nawema anamashabiki wengi alijua tu mirror atakuja kua juu sasa akaona heri arudia na wema apate kumvuringia mipango yake wallah na muonea huru huyu mdogowangu maski yana siku hizi hata mirror simsikii akimtaja @mrekebishatabia umefanya jambo zuri sana l hope @wemasepetu ataupata ujumbe wako

gennomaxmillan

@diamondplatnumz ww sio mwanammebora kwa wema bali n kvuli cha mwanamme japo mm n nwananch wa kawaida sio star lkn bby wangu kanpa maisha mazur na tunafamilia yenyefuraha.@mekebishatabia maisha ya wema hayavutii kbsa haelewek na ni kwel kbsa biła wema huyo jamaa alkuwa hajui ata kuomba maji kwa kizungu chek wema kajitoa kampa darasa badała alipe fazla anakaz ya kujtangaza na kutukandamizia mdogowetu@wemasepetu mm nakapenda sana kawema ni kazr lkn huwa hakubali ukwel ebu kataa kuanikwa kwa magazet ish kama wakna monalisa jack happy magese nancy angel damas na wengne weng ambao walpata kujulkana kama ww mbona maisha yataenda tu humuon mama krsh alivyo sasa eti mpnz ebu tazama alipo uwoya ameona bora kuish kawaida na bado yupo vzr sana huwez jua kama n mama wa jembe@uwoya kaa na .mwenzako bby anapotea

dougiemasta14

lawama zang mm zinaenda kwa @diamondplatnumz ni mtu ambae ntamlaumu milele kubadilika kwa wema hiv dai unajiskiaje mwanamke wako akipanda juu ya stage nakuanza kukata viuona chini yake kuna maelf ya watu wanamshangilia hiv unajua kuna wangapi wanao mtamani? Kuna wengine wakimuona tu wema huko chin hatr...dai srry for saying dis but in another point ww ndie unae mrudisha wema nyuma kuna muda huwa najiulize do u real love her ss hapa hamjaona ukishamua sindo tunampoteza kabisa...kwa ninavyo jua mpnz wako ndio mshaur wako wakwanz lakin ss mpnz ww uko busy kumshaur akacheze show for real...ok iko wap ile movie yenu ya china kila siku coming soon yan mnafanya watu wawaoneni waongo na hamna akili me vipo vingi navijua sema kwa heshima ya wema naonaga nijikaliege kimya..mm najua dai huskindwi kumkatia wema ticket uende nae out de country since merudiana tunaona post za wema kukununulia vitu but I had nvr seen ww kumfanyia wema something is dis wat u call love? O kunyonyana kimya kimya we kama mwanaume huwez mruhus mwanamke wako anaenda kweny vigodoro kufanya nn ss...wema if giving u makavu will help u to realise that we want dat am ready to start giving u makavu ...dont make ppo loss interest with u kutupenda sio kusema na kutuchezea show but kuonesha but listen to wat we want...ss tutaanza kukuchapa fimbo na leo hii me natangaza @martinkadinda nakuingilia kazii yakooo ss tutaanza kwenda kitemi maana kimya kimya hatuelewani...baadae ntarud kwa nyie washabikiii



  • Haji Tungasha · Ukiriguru Agricultural College
    Haya yaliyosemwa kwenye post ni kweli tupu maana wakati wema anaachwa na 'charles' kwasababu ya diamond nilitahadharisha kwamba diamond ni macho juu. Ukweli ni kwamba diamond hampendi wema kwa dhati bali kumtumia kimwili na kujipandisha chart. Diamond hajatulia bado anatamaa kutembea na kila mwanamke mzuri anayekuja mbele yake na kweli wema anaumia sana rohoni lakini penzi la dhati kwa diamond ndiyo linalomtesa. Wema tafakari sana kuna kuzeeka na kuchuja kimaumbile na kama hukujitengenezea ya kwako, diamond atakubwaga na utakosa pa kushika.
    • Müdrck Lumäla ·
      ku..... huna llote
    • John Mbejo · Engineer at Student
      hiyo naikweli huyo diamond wao huyo hatulii,yaani mm nmisha muhelewa huyo diamond bado hali ya kishamba anayo sana na ndomana hata hataki wanamziki wenzake wapate sifa,mbona alikiba,abdu kiba,nay,matonya,mirrow mbona hawana hali kama hiyo ya kwako?yaana jamani huyo diamond mm nazi chukiya halizake sana.nakuhomba hachana dada wema ww PUMBAVU.
  • Mchwampaka Arnold · Dar es Salaam, Tanzania
    There is no need of paining your heads because of someone who can think and possibly bring things perfect, it should be understood that
    - small minds discuss people.
    - average minds discuss events and
    - great minds discuss ideas.
    So, of what relevance do you have with discussing people's lives?
    How profitable are their affairs to you?

    I wanna you guys think twise b4 u west time that you would utilize to improve your lives, stop words and mind about your future rather than investing in the dispeakable non-issues.
    " when a nakedness promises you a dress, fast think of what its wearing b4 you accept"

    Don't pretend to be all that so sorry, those are the same things you all do to your fiancées. He used his brain to succeed let the lady ( wema) also use hers. Besides, both a Man and a Lady are stupid.
    A man(Diamond) - womenizer
    A lady (Wema)- prostitute
    They are all as tired as tractors. Very stupid.
  • Roben Majax Kabengwe · Works at YES
    nyie yamewashinda yenu mmeanza kuingilia ya wa2 ww uli mjua wema kbla hajawa miss TZ au ni unafiki2 na mapenzi ni ya wa 2 wa 3 ni mduanzi kwan wema ana nn kuna ma miss TZ wangapi walishapita na wa2 walisha wasahau kwan yy hajielewi na jua muziki una mashabiki kuliko movie za kibongo na ht mki hate platnum alisha chukua umaarufu mkubwa kaen mkijua hashuki leo wala kesho waachen na mambo yao bana kwan yako waliyaingilia na mlivyo na machungu km mlimzaa wema
  • Cathy Massawe · Airport Representative at Holiday Inn
    Ryan kama mlijia yaliyopo kichwan Kwangu jaman....diamond kama nikumtumia wema umemtumia vya kutosha hatutaki tena kuona una mpotezea dira wema cz kama kumuumiza umeshamuumiza sana we mwanaume gan mchafu kila kitamu ukilambe!! Huoni haya?? Tizama Chris Brown na karuache/ kanye na kim......hatutaki maneno yako tunataka vitendo nakama huwez pls tuachie madam wetu afanye yake mana lengo lako kumfujisha huna llengo nae
  • Beryl Dancer · Works at Mwanza
    For real dat sure machiz mmeongea points sana ..dia huna mashabiki wew mashabiki wote ni wa wema sepetu, i luv her vry much itz just she iz blind bcoz of love but yu seemz not tu see. Plz bring back our wema take her tu every country ur pleased with aende akafanye filamu unampoteza wema kwa ajil ya umaarufu uliyonayo kupitia kwake mkiachana huna jipya tena hutakuwa na mashabik huon alikiba tunavyompend hat ajiringanish na ww fanya changes utapendwa but witout dat take ur fuckin tyme unaboaaaaaa
  • Win Mkuta · L at Dawasco
    That is real diamond huna mashabiki unapata umaarufu kwa kutumia nyota ya wema na kisha unajifanya sukari ya warembo bila wema usingekuwa sukari we snitch boy take ure time tuachie wema wetu tuone kama utazidi kung'ara unatuboa ure a snake
  • Shacqy Bintty ·
    Huo ndio ushabiki wa kweli leo team wema nimewapenda bure mtu ukimuona mwenzio anapotea ni vyema ukamsaidia pambaneni muokoeni wema mtashinda vita hiyo kwa nguvu za mungu kwa jinsi nilivyoingiwa na furaha hata sijui niwaambie nini team wema mungu awabariki kwa hili lakumpigania wema hata mimi naliunga mkono
  • Datty Gasper · 
    ni kweli isiyopingika kabisa, diamond alivokua na penny alishuka sana kimziki lkn aliwaza akaona huyu andunje hana jipya ngoja nirudi kwa wema, kweli alivorudi alirudi kene chati mpaka leo yupo juuu bcoz of wema, cha kushangaza hamsaidii wema maisha ys diamond yazidi kupanda na wakati ya wema yanazidi kudidimia
  • Irine Mushi ·
    That was a true Diamond anamtumia wema kuingza kipato chake' nampenda diamond coz of my beloved wema I love wema so much.

0 comments:

Post a Comment