Nenda DA Betty....baada ya kujeruiwa...
Kupitia Mitandao tukakutukana....Kama ilivyokawaida yetu humu kila siku vijana kuacha Hoja na kutukana...kuzusha nakusambaza uongo
Pumzika kwa aman ....
Kupitia Mitandao tukakutukana....Kama ilivyokawaida yetu humu kila siku vijana kuacha Hoja na kutukana...kuzusha nakusambaza uongo
Pumzika kwa aman ....
Moja la msingi toka kwako ni kuamini kuwa vijana ndio tunastahili kubadili nchi hii
Na la pili ni imani yako kuwa Rais Wa 2015 atatoka CCM
Na mwisho ni ujumbe wako huu unaonifikirisha Sana
Kuwa eti Kama......soma mwenyewe kwenye twitt yake
Ijapo Jana kijana Wa chadema Goldsen Malisa alimzushia Betty twit ya uongo
RIP
Na la pili ni imani yako kuwa Rais Wa 2015 atatoka CCM
Na mwisho ni ujumbe wako huu unaonifikirisha Sana
Kuwa eti Kama......soma mwenyewe kwenye twitt yake
Ijapo Jana kijana Wa chadema Goldsen Malisa alimzushia Betty twit ya uongo
RIP
- Saady Khimji, Charity Kiswili and 7O77 others like this.
- Martha Noah naona unataka kupata umaarufu kupitia kifo cha Betty.acha hizo wewe Asenga Abubakar watu wanahuzuni kwa yaliyotokea wewevunaleta siasa kwenye kifo hiki chenye utata mkubwa.ningekuona muungwana kama ungewaomba policcm wenu kuchukua hatua stahiki kwa wote wanaohusika na kifo hiki na badala yake unafanya dhihaka hapa kanakwamba ni wewe tu mweye axcess ya mtandao wa twitter .
JUSTICE FOR BETTY - Asenga Abubakar Justice watu wapokazini heri yule asienamashaka na serikal ya Kikwete
Martha mwambie malisa hayo maneno ndie aliesambaza uzushi mm nmeweka kweli tupu hapa - Malisa Godlisten Ndugu yangu Asenga Abubakar jana uliweka uzi huu hapa ukaishia kupata comments tatu tu. Do u think watu hawakuona? Waliona lakini hawakucomment kwa sababu ilipost pumba (non-sense). Hata CCM wenzako waliipita hii thread kama hawaioni maana hawakua tayari kushiriki katika aibu hii ya ufinyu wa fikra.
Sasa bila hata kujiuliza leo umeweka tena post ileile, kwa namna ileile, kwenye platform ileile, na inasomwa na watu walewale halafu unategemea comments zaidi? Duuh. Kweli akili ndogo inapotawala akili kubwa ni hatari. This is very weak minded brother.
Kwa kuwa wewe bado ni mchanga sana kwenye critical thinking (kundi lako ni Synthesized Thinking level 1) ngoja nikusaidie kitu. Ukitaka kujenga reputation yako acha kujadili personalities na ujifunze kudiscuss issues.
Kuna makundi matatu ya fikra, 1.Critical mind which discuss issues, 2.Average mind which discuss events, 3.Weak Mind which always discuss people.
Nakushauri jitahidi uondoke kwenye hilo kundi la tatu ambalo upo, ujaribu kudiscuss issues and may be siku moja unaweza kuja kwenye kundi la kwanza (nilipo mimi).
Kuhusu majibu ya Tweet ya Betty kwa Pinda, refer majibu yangu kwa Olivia Sanare, au nenda Jamiiforums utaona majibu yote kwa uyakinifu.
Pia nikushauri kua Betty hakua mwanasiasa so plz acha kutumia kifo chake kisiasa. Whether alisema Pinda anashinda Urais au hatashinda hayo yalikua mawazo yake tu, kama wewe unavyoweza kutoa mawazo yako. So tumuache Betty apumzike, tusitumie mawazo yake kufavor vyama vyetu.
Its a great dentological mistake kutumia watu waliolala mauti ili upate credit kisiasa. Usiweke uCCM wako kujifanya unamjua sana Betty. Tupo tuliosoma nae shule moja, darasa moja, tukala nae pamoja na discussion pamoja lakini hatujatumia kifo chake kisiasa kama unavyojaribu kufanya.
Kama ulimpenda sn Betty tafadhali pigania haki yake, sio kupiga majungu huku mtandaoni. Fight kuhakikisha waliomtendea ukatili ule wanafikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Nikusaidie tu kuwa mapambano ya haki hayaangalii wewe ni CCM, CHADEMA, CUF au ACT. Mapambano ya haki huweka political affiliation pembeni. Nadhani ni vema sasa tukaweka vyama vyetu pembeni then tukafocus kupigania haki ya Betty.
Kuacha kufanya hivyo na kuendekeza majungu itz unethical rationalization and misconception. Je unataka Betty aibuke kutoka kwenye mauti kuja kutetea haki yake, na sisi tuendelee kupiga majungu mtandaoni? Kumbuka "The dead can not cry out for justice, its the duty of the living to do so fo them." - Asenga Abubakar Kupata comment haimaanish umeongea kweli am a point
At a waliomtusi bety walikoment
Hapa Hoja ni uongo wako ingia blog ya wananch uone ulivyomsingizia marehm
Eti aliandika twitter
"Pinda hatopata"
Ulitaka muhusisha Pinda hapa acha utoto kaka23 hrs · - 23 hrs ·
- Asenga Abubakar Ushahidi huu hapa wamaneno yako
Na yapo ktk blog ya wananchi na haujakana
Ijapo naona fbe umeyabadilisha
Kuzen akil vjana Wa cdm - Asenga Abubakar Tena umeandika kwa herufi kubwa
Eti PINDA HAWEZI KUWA RAIS
Unamsingizia MTU amefark
Kwal mnazambi Ya chacha wangwe - Asenga Abubakar Malisa
Mushi
Masawe
ShirimA
Kamlete na lyimo hapa
Ukweli n Ukweli tu
Umemzushia marehem Betty nenda katubu - Laibai Kallaghe Haya mmeyataka wenyewee vijana, baadhi yenu bila kujali Itikadi mmekua hamna ADABU kwa wakubwa wenu, mkidhani mnaweza kuongoza nchi kwenye Mtandao . Mtandao Mpaka hapo mtakapojitambua kujali Maslahi ya Nchi na kuweka Itikadi pembeni. Kwa maana wote mko boti Moj.
- Cesar Saburi Uledi S'bu Vijana tuache kutumia migongo ya watu kutafta umaarufu,hasa kumzushia mtu aliekufa kwa kuwa hayupo tena kuzusha mambo ya uongo. Godlisten nimependa comment yako uliposema "the dead can not cry out for justice,its the duty of the living todo so for them", lakn kama ushuhuda wa Assenga wa hiyo post ni wa kweli utakuwa umekosea kutaka kumtumia mtu aliekufa kujenga umaarufu wa kisiasa badala ya kumuombea na kupigania haki yake. Laibai kasema jambo la msingi kua hatuwezi kuongoza kwny mitandao!
- Asenga Abubakar Kama mm nadanganganya ingien Google blog ya wananchi muone post ndefu ya malisa
Na had said hajakana
Nenda Betty
Leo SAA nane tunakuzika Dodoma
Watu wanazidi kudanganya juu yako
R.I.P - Olivia Sanare Malisa ulikuwa among my best vijana wa upinzani,ila umeniogopesha kwa.uzushi huu I thought wewe ni msomi unayejielewa na nilikuona uko tofauti na machadema wenzio kumbe uko sawa,Ushauri wangu kwako sote tumehuzunishwa na hili tukio ba kama wahitaji kujua zaidi useme pengine hukuwa unajua chochote zaidi ya kusoma nae Majengo,usitafute umaarufu on the point of weakness that is very cheep,jifunze kusema nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.
- Gewa Rashid Sikutegemea kuona uongo wa ajabu kama wa malisa wa kumzushia marehemu, umemuwekea Betty maneno mdomoni.Huo uongo wako hautafutika, utakuwa ushahidi wa Betty mtakapo kutana siku moja kwa muumba wenu.
- Joram Nyinengabo Malisa! Malisa! Malisa! How can you be a man of that kind?
Asenga! Asenga! Asenga! How can you be a man of that kind?2 hrs ·














0 comments:
Post a Comment