Friday, August 1, 2014

Le Mutuz leo nilirudi kwa Mama Nitilie Gerezani kumpelekea Pesa zake zilizotumwa na Mbebez mbongo Super Buhite Aljabry from Washington DC/USA baada ya kuona picha za juzi na story nzima ya jinsi biashara nzima ya Mama ni Shillingi 25,000 tu kwa siku nzima ametuma USD $ 100 zimsaidie na biashara yake. People tunaweza kuitumia mitandao kusaidia jamii na pia kama wengi wanavyofanya sasa hivi kutukana matusi asubuhi mpaka saa ya kulala it is up to us!!, naomba kukushukuru sana Sister Buhite Mama amelia tena sana kwa furaha na wananchi wote wa karibu naye walipigwa na butwaa wakiuliza mitandao ndio nini maana wote waliguswa leo, so people lets go and do the right things na mitandao!! - Le Mutuz




1 comment: