Relaxing back at the Mt. Meru Hotel
Kati ya timu nzima iliyokuja nilikuwa namzimikia huyu jmaa mchezaji wa zamani wa Italy National Team Totti ambaye nilimuona New York akichezea World Cup Final against Brazil saying good bye to him.
Kwa sababu Kispanish kinapanda U know so nilikua nakipiga nao na haa a huyu mbebez we became friends
Then it was a time to say good bye to Real Madrid waliondoka kurudi Dar na wanaondoka leo kurudi kwao.
Luch time at Serena Hotel kati kati ya mbuga.
Nyumbu na Pundamilia haning out Pamoja U know
Zebra au Pundamilia live
Tukakuta mzee wa kazi Simba mnyama amelala kudadeki ona alivyolala kwa jeuri ya nguvu.
Le Big Show ndani ya nyumba ya Masai U know one of maajabu ya Dunia I have ever seen here.
Mchezaji wa Real Madrid akiomba ruhusa ya kuongia home ya Masai.
Waziri wa Habari Dr. Mukangara akitoka ndani ya nyumba ya Masai.
Wachezaji wa Real Madrid hoi na habari nzima ya boma la wamasai na ngoma yao.
Wamasai wakanza kucheza ngoma yao live.
Boma la wamasai ndani ya mbuga.

Gate kuu la kuingilia Mbugani Ngorongoro Real Madrid wakiwa na furaha kupita maelezo.
Kichuguu kimewatoa jasho wazungu wamelewa bila kunywa.
Le Big Show with Clouds FM Sports Super Star Shafii Dauda safarini pamoja na Real Madrid team.





































0 comments:
Post a Comment