Klabu
ya Barcelona haisisitizi wala kutoa nafasi ya 'kung'ata' katika mkataba
wa Luis Suarez licha ya kuhofia anaweza kung'ata tena, kwa mujibu wa
rais wa Barca Josep Maria Bartomeu.
Mshambuliaji
wa Uruguay anatumikia adhabu ya kufungiwa miezi minne kutojihusosha na
masuala ya soka jambo ambalo litachelewesha kuanza majukumu yake katika
klabu hiyo ya Catalan hadi mwezi October baada ya kukutwa na hatia ya
kumng'ata mchezaji wa Italia kwenye fainali za Kombe la Dunia - lakini
Barca imesema kwamba hiyo haikuwafanya washindwe kukamilisha usajili ta
paundi 75million kwa mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool.
Wakati
huo huo Bartomeu amesema tukio la kung'ata linawezakutokea tena - timu
ambayo huzingatia kuwa zaidi ya klabu haitoi ruhusa ya makubaliano ya
kyng'ata kwenye mikataba na wachezaji wao wapya.
0 comments:
Post a Comment