Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 19, 2014
 |
"Unapokuwa
unahitaji mafanikio kumbuka jambo moja kubwa linatakiwa lisitawale
fikra zako nalo ni UOGA. Nafurahi sana kufanya kazi na Wastara kwasababu
anafanya kazi yangu kama Manager wake iwe rahisi sana. Sababu
anajituma, anajitoa na yuko tayari kwa challenge yoyote. Kwakweli
nawashukuru Wanadaresalam wote kwa ushirikiano mkubwa mliotupa katika
uzinduzi Wa filamu ya LAST DECISION. Kwakweli mmeandika historia mpya
katika Maisha ya sanaa ya Wastara Juma. Pia niwashukuru Team Wastara kwa
kujitoa kwa nguvu kuhakikisha jambo hili limefanikiwa bila kusahau
niwapongeze Kampuni ya Steps Entertainment kwa ushirikiano mkubwa. Mungu
arubariki sote amiin.." |
0 comments:
Post a Comment