Wednesday, August 13, 2014

IMG_6288-0.JPG
Hatimaye baada ya miaka minne klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam leo imempokea kocha wao Patrick Phiri ambaye anakuja kuchukua nafasi ya Zdrack Logarusic.Phiri ambaye ameshaifundisha Simba huko nyuma anategemewa kusaini mkataba wa miaka miwili na Simba.

IMG_6289.JPG
IMG_6287.JPG

0 comments:

Post a Comment