Msanii wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano ya kisirisiri na Diamond Platnumz taarifa hizo zimevuja kupitia kwa marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili hao walikutanishwa na moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni katika kipindi cha Tv anacho host Meninah eti Diamond aliwahi kumkataza Meninah asishiriki kwa sababu atakutana na wanaume Wednesday, August 13, 2014
Msanii wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano ya kisirisiri na Diamond Platnumz taarifa hizo zimevuja kupitia kwa marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili hao walikutanishwa na moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni katika kipindi cha Tv anacho host Meninah eti Diamond aliwahi kumkataza Meninah asishiriki kwa sababu atakutana na wanaume
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment