Msanii Kulwa Kikumba 'Dude' .
STAA wa Mchezo wa Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kuwataka wasanii wenzake kuepuka michepuko akidai wengi wao wanaiendekeza.Akizungumza na paparazi wetu, Dude alisema michepuko ndiyo chanzo cha magonjwa na tasnia nzima ya filamu kuonekana haina maana hivyo ni vyema wasanii wakabadilika kwa kuiga mfano wake.
“Mimi kila ninapokwenda utaniona nipo na mke wangu lakini wasanii wengi wamekuwa wazito kutembea na wake zao kwa kuhofia michepuko kibao waliyonayo, wabadilike,” alisema Dude.

0 comments:
Post a Comment