Tuesday, August 5, 2014
MJADALA WA WANANCHI KUHUSU ASKARI FEKI WA TRAFFIC ALIYENASWA NA POLISI SOMA MWENYEWE LIVE!!
Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 05, 2014
Budotela Shenda
,
HaWa MtAngi
,
Maria B Malongo
and
1607 others
like this.
1 share
Zulfikar Kibasa
huyo jamaa ni mbunifu na ni jasiri sana, ameona fursa huyo
12 hrs
·
Salma Moriss
njaa zk ndizo zimempoza
12 hrs
·
Pendo Sanga
Ajira hakuna ndio chazo cha yote haya.
12 hrs
·
Ally Tahfif
Mbona kapemdeza zaidi ya makapoo
11 hrs
·
Rosalyn Joaquim
Sasa amepata wap hayo mavaz jamn ila yupo vzr
11 hrs
·
Rosalyn Joaquim
Huyo n mwiz msom km cio fisadi bas n mjasiliamali wa kutumia mbinu za kijesh
11 hrs
·
Salma Moriss
mimi na ww tujiulize
11 hrs
Maria B Malongo
Maskini wee yaani kama wa ukweli, ila ni tabia mbaya kudanganya
3 hrs
·
Lilian Ernest
du kaulamba na ni nadhifu maana magwanda yanawakaje ndo maana kakamatwa
2 hrs
·
Henry Adams
daaaah huyu mshkaji sio imma huyu? nakumbuka tulisoma nae makongo miaka hiyo na sio ana miaka 30 kama inavyodaiwa hapo ni mkubwa sana age mate wetu huyu! duuuh siamini macho yangu aisee
14 mins
·
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment