Mke wa rais cameroon Bi; Chantal Biya
Viongozi wa Afrika wamewasili nchini Marekani kwa mkutano na Rais Obama kuhusu maendeleo na ustawi wa bara la Afrika. Lakini kilichowavutia wengi ni mtindo wa nywele wa mkewe Rais wa Cameroon Paul Biya, Chantal Biya.
Chantal mwenye umri wa miaka 43 haogopi kusemwa na wala hakuna mtu anayeweza kumyanfa abadili mtindo huo wake ambao umemfanya kusifika sana, sio Papa, mkewe Rais Obama au hata marais wengine. Huo ndio mtindo wake daima. , Ni mpambe na hata akiwa miongoni mwa wanawake wengine mashuhuri ni rahisi sana
Bi chantal Biya na michalle obama
0 comments:
Post a Comment