Posted by Williammalecela.com on Friday, August 08, 2014
Fiesta super nyota mdada ambaye anaonekana umri umeenda amekuwa mshindi wa serengeti super nyota iliyokuwa ikifanyika Mwanza ambapo
Dj Fetty wa Clouds fm alikua miongoni mwa ma jaji, picha hii hapa ya mshindi toka Mwanza, Wengi wameonekana kusema kwamba ni mbibi , ndo hivo lakini kipaji hakiangalii umri...!
0 comments:
Post a Comment