Ndugu Timothy Kulewa wa Manchester Uingereza, anasikitika kutangaza kifo
cha Mke wake Maryam Nassor Jarufu kilichotokea juzi 26/08/2014 kwa
Ajali ya gari Morogoro akitokea safarini Mwanza. Mazishi yanafanyika leo
Ijumaa 29/08/2014 saa Tisa alasiri katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es
Salaam, Baada ya Misa itakayofanyika Kanisa la kilutheri Mbezi Beach (
Tangi Bovu) saa Saba mchana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment