Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
MTOTO mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa kadri anavyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ndivyo hofu ya kifo inavyozidi kumjaa.
Odama alifunguka hayo juzi alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa katika Ukumbi wa Vijana ambapo alisema kutokana na hofu hiyo ndiyo maana aliamua kujumuika na watoto yatima.
0 comments:
Post a Comment