Nchi ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki-
elektroniki .Raisi Goodluck Jonathan amekua mtu wa kwanza kupata kadi
hiyo ya BIOMETRIC CARD, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kua
itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa
kufanya malipo mtandaoni
Mfano wa kitambulisho cha Uraia Nigeria
Baada ya uzinduzi huo,imebainika kwamba Wanaigeri wote watapaswa kua
na kadi hiyo mpaka kufikia mwaka 2019 endapo watakua na haja ya kupiga
kura.
Jaribio la kutaka taifa la Nigeria kua na vitambulisho vya taifa la Nigeria lilishindwa miaka kumi iliyopita kutokana na rushwa
0 comments:
Post a Comment