MTOTO mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa kadri anavyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ndivyo hofu ya kifo inavyozidi kumjaa.
“Mwenzenu sijui nipoje yaani kila inapofika bethidei yangu najikuta nikiingiwa na hofu ya kifo, bora niwe nasherehekea na watoto yatima kama hivi nipate thawabu kwa Mungu,” alisema Odama.
0 comments:
Post a Comment