Wednesday, August 20, 2014

"Waafrika ndo hua wanadharauliwa kwa kila kitu, sisi ndo wa mwisho kwenye kila kitu, tunachoongoza ni weusi tu ila elimu, politics, hela, maisha mazuri, hadi lifestyle tutakua wa mwisho kila siku na sababu ni ujinga na uvivu...
Angalia sasa hii picha South Korea, bango limewekwa kwenye bar nje kua muafrika haruhusiwi kuingia eti wanahofia ebola.."


0 comments:

Post a Comment