Thursday, August 21, 2014

Televisheni ya ABC imeripoti kuwa Waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon aliamua kupanda usafiri wa umma (public transport) ktk viunga vya mji wa London akielekea ofisini. Kwa bahati mbaya katika treni aliyopanda alikosa siti hivyo akaamua kusimama huku akisoma gazeti hadi mwisho wa safari. This is called "The beauty of leadership." Je viongozi wetu wanaweza kufanya hivi??

0 comments:

Post a Comment