Tujiangalie
sana unapopata na hasira kwa ajili ya mpenzi wako na kuchukua maamuzi
magumu sana katika jambo ambalo limeshatendeka na hata ukifanya nini
halitaweza kurudi, cha msingi ni kuangalia wapi mwenza wako kakosea na
kama imeshindikana ni bora uachane naye kwa kheri kuliko kuaribiana
maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma ila tujali utu kuliko kufanya
unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina wa pande za Nigeria aka Naija,
ambaye alimwagiwa acid na mpenzi wake Mr. Ogba kutokana na wivu wa
mapenzi, sasa jamaa alibahatika kukamatwa na kufungwa jela miaka kumi
tangu mwaka 2010, Swali je miaka kumi na kumualibu mwenzio vinaendana?Tuesday, August 19, 2014
Tujiangalie
sana unapopata na hasira kwa ajili ya mpenzi wako na kuchukua maamuzi
magumu sana katika jambo ambalo limeshatendeka na hata ukifanya nini
halitaweza kurudi, cha msingi ni kuangalia wapi mwenza wako kakosea na
kama imeshindikana ni bora uachane naye kwa kheri kuliko kuaribiana
maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma ila tujali utu kuliko kufanya
unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina wa pande za Nigeria aka Naija,
ambaye alimwagiwa acid na mpenzi wake Mr. Ogba kutokana na wivu wa
mapenzi, sasa jamaa alibahatika kukamatwa na kufungwa jela miaka kumi
tangu mwaka 2010, Swali je miaka kumi na kumualibu mwenzio vinaendana?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment