Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 27, 2014

 |
Juzi
ndani ya Club Maisha dar es salaam, kulikua na Party kubwa
iliyoandaliwa na Mtangazaji wa Kituo cha Clouds Fm Ala za Roho, Party
hii ilihudhuriwa na wajanja wengi wa Town na burudani ilitolewa na
Rapper Chidi Benz ambaye kwa muda mrefu hajaonekana kwenye Majukwaa na
sasa hivi anai promote Ngoma yake
mpya Mpaka Kuchwee aliyo washirikisha Diamond na Ambwene Yesaya (A.Y)
Chidi alipokelewa na vizuri na mashabiki waliohudhuria usiku huo,
wengine walioperform ni Bob Junior Sharobaro mwenye nyota ya chips
Mayai, Kassim Mganga kutoka Manza Bay Tanga, Shilolole Kiuno pamoja na
Mpenzi wake Nuh Mziwanda wao ndio walifunga kazi kabisa kwa kula denda
on stage, Godzilla pia aliperform pamoja na Wadananda, Party hii iliisha
mida ya saa kumi na moja alfajiri.
|
0 comments:
Post a Comment