Monday, August 25, 2014

Screen Shot 2014-08-25 at 12.29.50 AM

Hata kabla hawajatua Tanzania mmoja wa Real Madrid legends Luis Figo alikiri kuwa na hamu ya kuupanda mlima Kilimanjaro
Fastjet ni shirika la ndege lililotoa kiapo cha kutoa usafiri wa haraka, salama na wenye utulivu kwa njia ya anga na kufanya safari zake kati ya Dar, Mbeya, Kilimanjaro, Mwanza, Lusaka, Harare na Johannesburg.

Screen Shot 2014-08-25 at 12.29.41 AM


0 comments:

Post a Comment