Posted by Williammalecela.com on Friday, August 29, 2014
 |
Jina lake la kisanii Anajiita Simco, amekuwa akinitumia messages kwa karibu Mwezi mzima sasa kwamba anataka kuja kuniona ofisini nisikilize Single yake
leo niliamua kumpa nafasi ya kuja na yes I am impressed na nimeamua kumpa nafasi ya kumsaidia kwa 100%, kwanza kesho nitampa nafasi ya kuonyesha ujuzi wake kwenye Mashindano ya Miss Ilala 2014 Talent Show and then nitampa nafasi kwenye finali za Miss Ilala 2014 Kempisk Hotel Jumamosi ijayo na pia kuanzia leo nitaanza kum-train hii ni fani yangu maana mimi ni mbongo wa kwanza Kupiga Disco New York City/USA tena kwa muda mrefu sana U know so by kesho NITAMSAINISHA MKTABA KUWA MENEJA WAKE so that ninamsaidia huku tunakwenda na mstari wa Sheria, he is 20 years old great singer!!. - Le Mutuz
|
0 comments:
Post a Comment